اللَّهُمَّ اسْقِنَا غَيْثًا مُغِيثًا مَرِيئًا مَرِيعًا، نَافِعًا غَيْرَ ضَارٍّ، عَاجِلاً غَيْرَ آجِلٍ.
"Allaahummasqinaa ghaythan mugheetham-maree'am-maree'aa, naafi'an ghayra dhaarri, 'aajilan ghayra aajil."
Ewe Mwenyezi Mungu, tunyeshee mvua yenye kuokoa, yenye manufaa na rutuba, yenye kheri isiyo na madhara, ya haraka bila ya kuchelewa.
O Allah, shower upon us a saving rain, abundant, productive, beneficial without harm, promptly and without delay.
Inasomwa wakati nchi au jamii inapokumbwa na ukame na upungufu wa maji.