Nyuma
Shida na Huzuni · HISN AL-MUSLIM

Dua ya Kumtembelea Mgonjwa

دعاء عيادة المريض

Shida na Huzuni Soma mara 1

لاَ بَأْسَ، طَهُورٌ إِنْ شَاءَ اللَّهُ.

"Laa ba'sa, tahoorun in shaa'Allaah."

Hapana neno, ni kutakasika (kwa madhambi) Mwenyezi Mungu akipenda.

Do not worry, it is a purification, if Allah wills.

KAUNTA YA KUSOMA DUA HII Lengo: Mara 1
Fadhila za Dua Hii:

Inaleta matumaini, faraja na uponyaji wa kisaikolojia kwa mgonjwa, ikimkumbusha kuwa maradhi ni kafara ya madhambi.

Rejea na Chanzo

Kitabu / Chanzo:
Hisn al-Muslim #145, Sahih al-Bukhari 3616