اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْهَمِّ وَالْحَزَنِ، وَالْعَجْزِ وَالْكَسَلِ، وَالْبُخْلِ وَالْجُبْنِ، وَضَلَعِ الدَّيْنِ وَغَلَبَةِ الرِّجَالِ.
"Allaahumma innee a'oodhu bika minal-hammi wal-hazan, wal-'ajzi wal-kasal, wal-bukhli wal-jubn, wa dala'id-dayni wa ghalabatir-rijaal."
Ee Mwenyezi Mungu, hakika mimi ninajikinga Kwako kutokana na hamu na huzuni, na kutoweza na uvivu, na ubakhili na uoga, na kuelemewa na madeni na kudhulumiwa au kushindwa na watu.
O Allah, I seek refuge in You from grief and sadness, from weakness and from laziness, from miserliness and from cowardice, from being overcome by debt and overpowered by men.
Humuondolea muislamu msongo wa mawazo, uzito wa madeni na kumpa nguvu ya kupambana na maisha.