إِنَّ لِلَّهِ مَا أَخَذَ، وَلَهُ مَا أَعْطَى، وَكُلٌّ عِنْدَهُ بِأَجَلٍ مُسَمًّى، فَلْتَصْبِرْ وَلْتَحْتَسِبْ.
"Inna lillaahi maa akhadha, wa lahu maa a'taa, wa kullun 'indahu bi-ajalim-musammaa, faltasbir wal-tahtasib."
Hakika ni vya Mwenyezi Mungu kile Alichokitwaa, na ni Vyake kile Alichokitoa, na kila kitu Kwake kina muda maalum uliopangwa; basi subiri na utarajie malipo kutoka kwa Allah.
Truly to Allah belongs that which He has taken, and to Him belongs that which He has given, and with Him everything has an appointed time; so be patient and anticipate Allah's reward.
Maneno bora na ya faraja ya kisheria ya kumliwaza ndugu, rafiki au jirani aliyefiwa na mpendwa wake.