أَمْسَيْنَا وَأَمْسَى الْمُلْكُ لِلَّهِ، وَالْحَمْدُ لِلَّهِ، لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ. رَبِّ أَسْأَلُكَ خَيْرَ مَا فِي هَذِهِ اللَّيْلَةِ وَخَيْرَ مَا بَعْدَهَا، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا فِي هَذِهِ اللَّيْلَةِ وَشَرِّ مَا بَعْدَهَا، رَبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْكَسَلِ وَسُوءِ الْكِبَرِ، رَبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنْ عَذَابٍ فِي النَّارِ وَعَذَابٍ فِي الْقَبْرِ.
"Amsaynaa wa amsal-mulku lillaah, walhamdu lillaah, laa ilaaha illallaahu wahdahu laa shareeka lah, lahul-mulku wa lahul-hamd, wa Huwa 'alaa kulli shay'in Qadeer. Rabbi as'aluka khayra maa fee haadhihil-laylati wa khayra maa ba'dahaa, wa a'oodhu bika min sharri maa fee haadhihil-laylati wa sharri maa ba'dahaa, Rabbi a'oodhu bika minal-kasali wa soo'il-kibar, Rabbi a'oodhu bika min 'adhaabin fin-naari wa 'adhaabin fil-qabr."
Tumeingia jioni na ufalme wote umebaki kuwa wa Mwenyezi Mungu, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja pekee, hana mshirika, ufalme wote ni Wake na sifa zote njema ni Zake, Naye juu ya kila kitu ni Muweza. Mola wangu, nakuomba kheri ya usiku huu na kheri ya baada yake, na ninajikinga Kwako na shari ya usiku huu na shari ya baada yake.
We have reached the evening and at this very time all sovereignty belongs to Allah. All praise is for Allah. None has the right to be worshipped except Allah alone, without partner.
Hukukinga na shari zote za usiku na kuleta amani na utulivu.