اللَّهُمَّ أَنْتَ رَبِّي لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ، خَلَقْتَنِي وَأَنَا عَبْدُكَ، وَأَنَا عَلَى عَهْدِكَ وَوَعْدِكَ مَا اسْتَطَعْتُ، أَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا صَنَعْتُ، أَبُوءُ لَكَ بِنِعْمَتِكَ عَلَيَّ، وَأَبُوءُ بِذَنْبِي، فَاغْفِرْ لِي فَإِنَّهُ لاَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلاَّ أَنْتَ.
"Allaahumma Anta Rabbee laa ilaaha illaa Ant, khalaqtanee wa anaa 'abduk, wa anaa 'alaa 'ahdika wa wa'dika mastata't, a'oodhu bika min sharri maa sana't, aboo'u laka bini'matika 'alayya, wa aboo'u bidhambee, faghfir lee fa'innahu laa yaghfirudh-dhunooba illaa Ant."
Ewe Mwenyezi Mungu, Wewe ndiwe Mola wangu, hapana mola ila Wewe. Umeniumba mimi nami ni mja Wako; nami niko kwenye ahadi Yako na agano Lako kadiri ya uwezo wangu. Ninajikinga Kwako na shari ya niliyoyatenda. Ninakiri Kwako neema Zako zilizo juu yangu, na ninakiri madhambi yangu; basi nisamehe, kwani hakuna asameheye madhambi ila Wewe.
O Allah, You are my Lord, none has the right to be worshipped except You. You created me and I am Your slave...
Mwenye kuisoma jioni kwa moyo wa yakini akafa usiku huo basi ni miongoni mwa watu wa Peponi.