اللَّهُ لاَ إِلَهَ إِلاَّ هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ لاَ تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلاَ نَوْمٌ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الأَرْضِ...
"Allaahu laa ilaaha illaa Huwal-Hayyul-Qayyoom, laa ta'khudhuhu sinatun wa laa nawm..."
Aya ya Enzi: Mwenyezi Mungu, hapana mungu ila Yeye, Aliye Hai daima, Msimamia kila kitu...
Allah - there is no deity except Him, the Ever-Living, the Sustainer of all existence...
Mwenye kuisoma jioni anabaki katika hifadhi na ulinzi thabiti wa Mwenyezi Mungu usiku kucha dhidi ya mashetani na majini.