سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ.
"Subhaanallaahi wa bihamdih."
Kutakasika ni kwa Mwenyezi Mungu na sifa zote njema ni Zake.
Glory is to Allah and all praise is to Him.
Mwenye kuisoma mara 100 asubuhi na jioni, atafutiwa madhambi yake hata yakiwa kama povu la bahari, na hapatakuwa na yeyote atakayekuja na amali bora zaidi siku ya Kiyama.