رَضِيتُ بِاللَّهِ رَبّاً، وَبِالإِسْلاَمِ دِيناً، وَبِمُحَمَّدٍ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ نَبِيّاً.
"Radeetu billaahi Rabban, wa bil-Islaami deenan, wa bi-Muhammadin sallallaahu 'alayhi wa sallama Nabiyyaa."
Nimeridhika na Mwenyezi Mungu kuwa ndiye Mola wangu, na Uislamu kuwa ndiyo dini yangu, na Muhammad ﷺ kuwa ndiye Nabii wangu.
I am pleased with Allah as my Lord, with Islam as my religion, and with Muhammad ﷺ as my Prophet.
Mwenye kuisoma mara 3 asubuhi na jioni, ni haki juu ya Mwenyezi Mungu kumridhisha siku ya Kiyama.