اللَّهُ لاَ إِلَهَ إِلاَّ هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ لاَ تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلاَ نَوْمٌ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الأَرْضِ مَن ذَا الَّذِي يَشْفَعُ عِنْدَهُ إِلاَّ بِإِذْنِهِ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ وَلاَ يُحِيطُونَ بِشَيْءٍ مِّنْ عِلْمِهِ إِلاَّ بِمَا شَاء وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ وَلاَ يَؤُودُهُ حِفْظُهُمَا وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ.
"Allaahu laa ilaaha illaa Huwal-Hayyul-Qayyoom, laa ta'khudhuhu sinatun wa laa nawm, lahu maa fis-samaawaati wa maa fil-ardh, man dhal-ladhee yashfa'u 'indahu illaa bi'idhnih, ya'lamu maa bayna aydeehim wa maa khalfahum, wa laa yuheetoona bishay'im-min 'ilmihee illaa bimaa shaa', wasi'a Kursiyyuhus-samaawaati wal-ardh, wa laa ya'ooduhu hifdhuhumaa, wa Huwal-'Aliyyul-'Adheem."
Mwenyezi Mungu! Hapana mungu ila Yeye, Aliye Hai daima, Msimamia kila kitu. Hasinzii wala halali. Ni vyake vyote vilivyomo mbinguni na vilivyomo ardhini. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele Yake bila ya idhini Yake? Anajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala hawazunguki chochote katika ilimu Yake ila kwa kile Alipendacho. Enzi Yake imetanda mbinguni na ardhini, wala halimshindi kuzilinda zote mbili. Naye ndiye Aliye Juu, Mkubwa kabisa.
Allah - there is no deity except Him, the Ever-Living, the Sustainer of all existence. Neither drowsiness overtakes Him nor sleep. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth...
Aya kuu kuliko zote katika Qur'ani Tukufu. Mwenye kuisoma asubuhi au jioni anabaki katika ulinzi wa Mwenyezi Mungu, na shetani hamkaribii.