بِسْمِ اللَّهِ الَّذِي لاَ يَضُرُّ مَعَ اسْمِهِ شَيْءٌ فِي الأَرْضِ وَلاَ فِي السَّمَاءِ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ.
"Bismillaahil-ladhee laa yadurru ma'as-mihi shay'un fil-ardi wa laa fis-samaa'i wa Huwas-Samee'ul-'Aleem."
Kwa jina la Mwenyezi Mungu ambaye hakidhuru chochote kile pamoja na jina Lake, si katika ardhi wala mbinguni, Naye ndiye Mwenye kusikia yote, Mwenye kujua kila kitu.
In the name of Allah, with whose name nothing on earth or in heaven can cause harm, and He is the All-Hearing, the All-Knowing.
Mwenye kuisoma mara 3 asubuhi na mara 3 jioni, hakuna chochote kitakachomdhuru.