اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ عِلْمًا نَافِعًا، وَرِزْقًا طَيِّبًا، وَعَمَلاً مُتَقَبَّلاً.
"Allaahumma innee as'aluka 'ilman naafi'aa, wa rizqan tayyibaa, wa 'amalan mutaqabbalaa."
Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba ilimu yenye manufaa, na riziki nzuri iliyo halali, na matendo yanayokubaliwa mbele Yako.
O Allah, I ask You for knowledge that is of benefit, a good and lawful provision, and deeds that are accepted.
Inasomwa asubuhi baada ya swala ya Alfajiri kuanza siku kwa malengo matatu makuu ya Muislamu: ilimu, riziki safi, na amali njema.