اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ الْعَفْوَ وَالْعَافِيَةَ فِي دِينِي وَدُنْيَايَ وَأَهْلِي وَمَالِي، اللَّهُمَّ اسْتُرْ عَوْرَاتِي وَآمِنْ رَوْعَاتِي، اللَّهُمَّ احْفَظْنِي مِنْ بَيْنِ يَدَيَّ وَمِنْ خَلْفِي وَعَنْ يَمِينِي وَعَنْ شِمَالِي وَمِنْ فَوْقِي، وَأَعُوذُ بِعَظَمَتِكَ أَنْ أُغْتَالَ مِنْ تَحْتِي.
"Allaahumma innee as'alukal-'afwa wal-'aafiyata fee deenee wa dunyaaya wa ahlee wa maalee. Allaahummastur 'awraatee wa aamin raw'aatee. Allaahummah-fadhnee mim-bayni yadayya wa min khalfee wa 'an yameenee wa 'an shimaalee wa min fawqee, wa a'oodhu bi 'adhamatika an ughtaala min tahtee."
Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba msamaha na afya katika dini yangu, dunia yangu, familia yangu na mali yangu. Ewe Mwenyezi Mungu, sitiri aibu zangu na utulize hofu zangu. Ewe Mwenyezi Mungu, nilinde mbele yangu, nyuma yangu, kuliani kwangu, kushotoni kwangu, na juu yangu; na ninajikinga kwa Utukufu Wako nisije nikadidimizwa (kuangamizwa kwa ghafla) kutoka chini yangu.
O Allah, I ask You for forgiveness and well-being in my religion, worldly affairs, family, and wealth. O Allah, conceal my faults and calm my fears. O Allah, protect me from in front of me, behind me, on my right, on my left, and from above me; and I seek refuge in Your greatness from being unexpectedly swallowed up from beneath me.
Mtume ﷺ hakuwahi kuacha kusoma dua hii kila asubuhi na jioni; humlinda mtu pande zote sita za maisha yake.