Dua sahihi na adhkar zilizothibitishwa kutoka katika Qur'an na mafundisho ya Mtume Muhammad ﷺ. Hifadhi ya moyo, amani ya nafsi, na kinga ya muumini katika kila nyakati za maisha.
Ee Mwenyezi Mungu, Wewe ndiye Mola wangu, hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Wewe. Umeniumba mimi na mimi ni mja Wako, nami niko juu ya ahadi Yako na ag...
Tumeingia jioni na ufalme wote umebaki kuwa wa Mwenyezi Mungu, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mung...
Kwa jina Lako Mola wangu ninaweka ubavu wangu, na kwa ajili Yako ninaunyanyua. Ukiizuia roho yangu (nikafa usingizini) basi irehemu, na ukiirudisha basi ihifadh...
Hisn al-Muslim #101, Sahih al-Bukhari 6320, Sahih Muslim 2714
Ewe Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa watu wote! Ondoa maradhi haya na uponye; Wewe ndiye Mponyaji, hakuna uponyaji ila uponyaji Wako, uponyaji usioacha ugonjwa wow...
Hisn al-Muslim #148, Sahih al-Bukhari 5675, Muslim 2191
Ewe Mwenyezi Mungu, nitosheleze na halali Yako ili nijiepushe na haramu Yako, na unitajirishe kwa fadhila Zako nisiwe na haja na mwingine yeyote asiyekuwa Wewe.