بِسْمِ اللَّهِ تَوَكَّلْتُ عَلَى اللَّهِ، وَلاَ حَوْلَ وَلاَ قُوَّةَ إِلاَّ بِاللَّهِ.
"Bismillaahi tawakkaltu 'alallaahi, wa laa hawla wa laa quwwata illaa billaah."
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, nimemtegemea Mwenyezi Mungu, wala hapana uwezo wala nguvu ila kwa msaada wa Mwenyezi Mungu.
In the name of Allah, I have placed my trust in Allah; there is no power and no might except by Allah.
Malaika humwambia msomaji: 'Umeongozwa, umetoshelezwa na umekingwa,' na Shetani hujitenga naye mbali.