رَبَّنَا تَقَبَّلْ مِنَّا إِنَّكَ أَنتَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ
"Rabbanaa taqabbal minnaa innaka Antas-Samee'ul-'Aleem."
Mola wetu Mlezi! Tutakabalie (amali yetu); hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
Our Lord, accept [this] from us. Indeed You are the Hearing, the Knowing.
Dua ya Nabii Ibrahim na Ismail wakati wakijenga Kaaba; inafaa kusomwa baada ya amali njema yoyote.