اللَّهُمَّ اكْفِنِي بِحَلَالِكَ عَنْ حَرَامِكَ، وَأَغْنِنِي بِفَضْلِكَ عَمَّنْ سِوَاكَ.
"Allaahummak-finee bi-halaalika 'an haraamik, wa aghninee bi-fadlika 'amman siwaak."
Ewe Mwenyezi Mungu, nitosheleze na halali Yako ili nijiepushe na haramu Yako, na unitajirishe kwa fadhila Zako nisiwe na haja na mwingine yeyote asiyekuwa Wewe.
O Allah, suffice me with Your lawful provisions against Your unlawful ones, and enrich me by Your bounty above all others besides You.
Ali ibn Abi Talib (r.a) alimwambia mtu aliyekuwa na deni: Hata kama ungedaiwa deni sawa na mlima wa Uhud, Allah angelikulipia kwa dua hii.