Sahih Muslim · Na. 15
Waonaje ikiwa nitaswali swala zilizofaradhishwa, na nikafunga Ramadhani, na nikahalalisha kilichokuwa halali na nikaharamisha kilichokuwa haramu
Mada zinazohusiana
Tawhid na Misingi ya ImaniSwala, Tohara na IbadaRiziki Halali na KaziKupendana kwa Ajili ya Allah na Udugu
Hadith zinazofanana
Kutoka kwa Abuu Abdillaah Jabiri bin Abdillah Al-Aswari radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao: Kuwa mtu mmoja alimuuliza Mtume wa Mwenyezi Mu...
zilizofaradhishwanikahalalishanikaharamishakilichokuwasikuzidishaalimuuliza
Linganisha na hiiHadithi imepokelewa kutoka kwa Jabiri -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake-: Kuwa mtu mmoja alimuuliza Mtume wa Mwenyezi Mungu -Rehema na...
zilizofaradhishwanikahalalishanikaharamishakilichokuwasikuzidishaalimuuliza
Linganisha na hiiKutoka kwa Abu Abdullah Jabir bin Abdullah al-Ansari (Radhi za Allah ziwe juu yao) kwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume: Je, unaonaje nikiswali...
nikahalalishanikaharamishaalimuulizanikafungaramadhaninitaingia
Linganisha na hiiImepokelewa kutoka kwa Abdallah bin Omari -radhi za Allah ziwe juu yake yeye na baba yake-: Bwana mmoja alimuuliza Mtume Muhammad rehema na...
alimuulizawaonajeradhiswala
Linganisha na hiiImepokelewa kutoka kwa Abdallah bin Omari -radhi za Allah ziwe juu yake yeye na baba yake-: Bwana mmoja alimuuliza Mtume Muhammad rehema na...
alimuulizawaonajeradhiswala
Linganisha na hiiImepokewa kutoka kwa Abuu Huraira -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema: Mtu mmoja alimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake,...
alimuulizahalaliradhi
Linganisha na hiiUfanano huu unategemea maneno yanayoshirikiana tu. Si hukumu ya kielimu kuhusu maana au daraja la hadith.
Isnad na wasifu wa wapokezi
Data ya wapokezi (isnad) bado haijaongezwa kwenye Bayt Ul Hadith. Itaonekana hapa pindi itakapopatikana kutoka chanzo kinachoaminika, kwa marejeo kamili.