Kozi
Sunan an-Nasa'i
Fiqhi, Swala na Ibada
29 masomo
- HE-3485 Yakwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- na mguu wake ukiwa tayari umeuweka kwenye... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3518 usijekuacha mwisho wa kila swala kusema: Allaahumma ainni alaa dhikrika washukrika wahusni ibaadatika" Ewe Mwe... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3588 Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3914 Anachokipata aliyekufa shahidi katika maumivu ya kifo, ni kama maumivu anayoyapata mmoja wenu kutokana na kung... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4292 Hakika vitu hivi viwili ni haramu kwa wanaume wa umma wangu, ni halali kwa wanawake wao Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4564 Acha linalokutia shaka fanya lisilokutia shaka, kwani ukweli ni utulivu, na bila shaka uongo ni shaka Hukumu za Swala na Tohara
- HE-8355 Ni safi Maji yake na ni halali mizoga yake Hukumu za Swala na Tohara
- HE-8357 Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hayashiki uchafu Hukumu za Swala na Tohara
- HE-8378 Eneza maji ya udhu, na uachanishe kati ya vidole, na pandisha maji yafike puani, isipokuwa utakapokuwa umefung... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-10897 Hakitosimama Kiyama mpaka watu wajifaharishe katika Misikiti Hukumu za Swala na Tohara
- HE-10950 Yeyote atakayesoma Ayatul Kursiy mwisho wa kila swala ya faradhi hakuna kitakachomzuia kuingia peponi isipokuw... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-11251 Atakayehifadhi rakaa nne kabla ya Adhuhuri na rakaa nne baada yake basi Mwenyezi Mungu atamharamisha kuingia m... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-11306 Hakika swala hizi mbili, ni swala nzito sana kwa wanafiki, na lau kama mngejua malipo yaliyomo basi mngezijia,... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-58060 Alitufundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- hotuba ya dharura (Haja) Hukumu za Swala na Tohara
- HE-58090 Amelaaniwa mwenye kumuingilia mke wake kinyume na maumbile Hukumu za Swala na Tohara
- HE-58091 Hamtazami Mwenyezi Mungu mtu ambaye kamuingilia mwanaume au mwanamke katika tupu yake ya nyuma Hukumu za Swala na Tohara
- HE-58125 Atakayekuwa na wake wawili akaegemea kwa mmoja wao atakuja siku ya Kiyama upande wake mmoja ukiwa umepinda Hukumu za Swala na Tohara
- HE-58148 Imenyanyuliwa kalamu kwa watu wa aina tatu: Kwa aliyelala mpaka aamke, na kwa mtoto mdogo mpaka abalehe, na kw... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-64597 Wapigeni vita washirikina kwa mali zenu na nafsi zenu na ndimi zenu Hukumu za Swala na Tohara
- HE-64632 Ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake pindi alipomuelekeza kwenda Yemen alimuamrisha achukue miongoni... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65085 Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikitaka kuwa muislamu, akaniamrisha nioge kwa maji na mkuna... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65104 Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema kati ya sijida mbiliL "Rabbigh-firlii, Rabbigh-... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65613 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefariki, ni sadaka ipi bora ya kumfanyia? Akasema: "Maji" Ak... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65620 Ikiwa mtapenda nitakupeni, lakini mali hii tajiri hana fungu ndani yake wala mwenye nguvu mwenye uwezo wa kuch... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65627 Fuatanisheni kati ya Hija na Umra, kwani huondoa umasikini na madhambi kama moto unavyoondoa uchafu wa chuma,... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65738 Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna mapungufu basi yawe katika safu ya mwisho Hukumu za Swala na Tohara
- HE-65768 Atakayeacha Ijumaa tatu kwa kuzipuuzia; Mwenyezi Mungu hupiga muhuri katika moyo wake Hukumu za Swala na Tohara
- HE-66196 Hakika mimi siwapi mkono wanawake, bali hakika kauli yangu kwa wanawake mia moja ni sawa na kauli yangu kwa mw... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-66519 Acha yanayokutia shaka na uende katika yale yasiyokutia shaka Hukumu za Swala na Tohara