Kozi
Sahih al-Bukhari
Fiqhi, Swala na Ibada
203 masomo
- 735 Yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Alikuwa akinyanyua mikono yake usawa wa mabega yake anapofungua... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3096 Alinifundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake, namna ya tashahudi iletwayo ndani ya sala, na kiganja chan... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3103 Allaahumma inniy a'udhubika min adhaabil Qabri, wa min adhaabin naari, wamin fitnatil mahyaa wal mamaati, wami... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3104 Allaahumma baaid bainiy -Ewe Mwenyezi Mungu weka mbali baina yangu- wa baina khatwaayaaya -na baina ya makosa... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3107 Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo Hukumu za Swala na Tohara
- 1315 Fanyeni haraka kulipeleka jeneza, likiwa ni la mtu mwema, basi mnaliwahisha kupata kheri, na likiwa kinyume na... Hukumu za Swala na Tohara
- 822 Linganeni sawa katika sijida, na asikunjue mmoja wenu mikono yake kama anavyokunjua mbwa Hukumu za Swala na Tohara
- 386 Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- akiswali na viatu vyake? aka... Hukumu za Swala na Tohara
- 172 Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba Hukumu za Swala na Tohara
- 5891 Mambo ya kimaumbile ni matano: Kutairi, na kunyoa sehemu za siri, na kupunguza masharubu, na kupunguza kucha n... Hukumu za Swala na Tohara
- 6322 Alikuwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake anapoingia msalani anasema: "Allaahumma inniy Auudhubika minal khu... Hukumu za Swala na Tohara
- 1014 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, mali zimeteketea na njia zote zimekatika, muombe Mwenyezi Mungu atuletee mvua Hukumu za Swala na Tohara
- 757 Rudi kaswali, kwani wewe hujaswali Hukumu za Swala na Tohara
- 1278 Tulikatazwa kusindikiza jeneza, na hatukusisitiziwa katazo hilo Hukumu za Swala na Tohara
- 865 Punguzeni sharubu na mfuge ndevu Hukumu za Swala na Tohara
- 164 Atakayetawadha mfano wa udhu wangu huu, kisha akasali rakaa mbili ambazo haizungumzishi ndani yake nafsi yake,... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3346 Msilifanye kaburi langu kuwa sikukuu, wala nyumba zenu kuwa makaburi, na nitakieni rehma, kwani dua zenu hunif... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3348 Nilikuwa ni mtu mwenye kutokwa na madhii kwa wingi na nilikuwa nikiona haya kumuuliza Mtume Rehema na amani zi... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3396 Nilikuwa kwa Saidi bin Jubair akasema: Ni nani kati yenu aliyeiona nyota iliyodondoka jana usiku? Nikasema: Mi... Hukumu za Swala na Tohara
- 4210 Ninamuapa Mwenyezi Mungu, ikiwa Mwenyezi Mungu atamuongoza mtu mmoja kupitia kwako, hilo ni bora zaidi kwako k... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3449 Nilimuuliza Aisha nikasema: Vipi kuhusu mwenye hedhi analipa swala na wala halipi swala? Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3456 Nilimjia Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- naye akiwa anapiga mswaki kwa mswaki wa mti mbichi, Akasema: na... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3461 Hakika ilikuwa inakutosheleza kupiga kwa mikono yako hivi" Kisha akapiga kwa mikono yake miwili chini ya ardhi... Hukumu za Swala na Tohara
- 6954 Haikubali Mwenyezi Mungu swala ya mmoja wenu atakapotengukwa udhu mpaka atawadhe Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3535 Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3565 Simama na uswali witiri ewe Aisha Hukumu za Swala na Tohara
- 1142 Anafunga shetani juu ya kisogo cha kichwa cha mmoja wenu, pindi anapolala, mafundo matatu, anafunga katika kil... Hukumu za Swala na Tohara
- 5991 Muunga udugu si mlipa fadhila, bali muunga udugu ni yule ambaye udugu wake ukikatwa anauunga Hukumu za Swala na Tohara
- 38 Atakayefunga Ramadhani kwa imani na kutaraji malipo toka kwa Allah, atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia Hukumu za Swala na Tohara
- 35 Mwenye kusimama usiku wenye cheo (Lailatul Qadri) kwa imani na kutaraji malipo, husamehewa madhambi yake yaliy... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4314 Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi Hukumu za Swala na Tohara
- 2840 Atakayefunga siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu, atauweka mbali Mwenyezi Mungu uso wake na moto miaka sab... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4454 Tulikuwa tukitoa kipindi alipokuwa nasi Mtume rehema na amani ziwe juu yake zakatul fitiri, kwa kila mdogo na... Hukumu za Swala na Tohara
- 1946 Si katika wema kufunga safarini Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4508 Msiitangulizie Ramadhani kwa swaumu ya siku moja wala siku mbili, isipokuwa mtu aliyekuwa akifunga swaumu fula... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4525 Atakayesahau hali yakuwa kafunga akala au akanywa, basi atimize swaumu yake, kwani Mwenyezi Mungu kamlisha na... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4566 Swala ya mtu katika jamaa inazidi swala yake sokoni kwake na nyumbani kwake kwa daraja zaidi ya ishirini Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4711 Hakuna kujidhuru wala kusababisha madhara, na atakayedhuru Allah naye atamdhuru, na atakayemtia mtu uzito Mwen... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4714 Si halali damu ya muislamu isipokuwa kwa moja kati ya mambo matatu Hukumu za Swala na Tohara
- HE-4722 Laiti wangepewa watu yote wanayodai basi kuna watu wangedai mali za wenzao na damu zao, lakini ushahidi ni kwa... Hukumu za Swala na Tohara