Kozi
Sahih al-Bukhari

Fiqhi, Swala na Ibada

203 masomo

  1. 8 Umejengwa uislamu kwa mambo matano Hukumu za Swala na Tohara
  2. HE-66536 Kila kilevi ni haramu. Hukumu za Swala na Tohara
  3. 865 Punguzeni sharubu na mfuge ndevu Hukumu za Swala na Tohara
  4. 164 Atakayetawadha mfano wa udhu wangu huu, kisha akasali rakaa mbili ambazo haizungumzishi ndani yake nafsi yake,... Hukumu za Swala na Tohara
  5. HE-3366 Hakika swala nzito zaidi kwa wanafiki ni swala ya Ishaa na swala ya Alfajiri, na lau kama wangejua (malipo) ya... Hukumu za Swala na Tohara
  6. 6954 Haikubali Mwenyezi Mungu swala ya mmoja wenu atakapotengukwa udhu mpaka atawadhe Hukumu za Swala na Tohara
  7. 5991 Muunga udugu si mlipa fadhila, bali muunga udugu ni yule ambaye udugu wake ukikatwa anauunga Hukumu za Swala na Tohara
  8. 38 Atakayefunga Ramadhani kwa imani na kutaraji malipo toka kwa Allah, atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia Hukumu za Swala na Tohara
  9. 35 Mwenye kusimama usiku wenye cheo (Lailatul Qadri) kwa imani na kutaraji malipo, husamehewa madhambi yake yaliy... Hukumu za Swala na Tohara
  10. 7288 Niacheni na vile nilivyo kuachieni, hakika waliangamia waliokuwa kabla yenu kwa sababu ya maswali mengi na kuw... Hukumu za Swala na Tohara
  11. HE-4725 Niliyokukatazeni basi yaepukeni, na yale niliyokuamrisheni basi yaleteni katika hayo kadiri muwezavyo, na haki... Hukumu za Swala na Tohara
  12. 6014 Hakuacha Jibrili kuniusia kuhusu jirani, mpaka nikadhania kuwa atamrithisha Hukumu za Swala na Tohara
  13. 1393 Msiwatukane wafu, kwani wao tayari wameyapata yale waliyoyatanguliza Hukumu za Swala na Tohara
  14. 5352 Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe Hukumu za Swala na Tohara
  15. 2721 Sharti zenye haki zaidi kwenu nyinyi kuzitekeleza ni zile mlizohalalishia tupu Hukumu za Swala na Tohara
  16. 553 Atakayeacha swala ya Lasiri basi yameporomoka matendo yake Hukumu za Swala na Tohara
  17. 55 Atakapotoa matumizi mtu kwa familia yake kwa kutaraji malipo, basi hiyo kwake ni sadaka Hukumu za Swala na Tohara
  18. 4215 Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku Hukumu za Swala na Tohara
  19. 1166 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitufundisha kutaka uchaguzi (kwa Mwenyezi Mungu) katika mambo ye... Hukumu za Swala na Tohara
  20. 276 Namna ya kuoga janaba Hukumu za Swala na Tohara
  21. 272 Alikuwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake anapooga kwa ajili ya janaba, anaosha mikono yake, na anatawadha u... Hukumu za Swala na Tohara
  22. 1442 Hakuna siku ambayo wanaamka ndani yake waja isipokuwa kuna Malaika wawili wanateremka, anasema mmoja wao: Ewe... Hukumu za Swala na Tohara
  23. 2843 Atakaye muandaa mpiganaji katika njia ya Mwenyezi Mungu basi na yeye atakuwa kapigana, na atakayemsimamia mpig... Hukumu za Swala na Tohara
  24. 1163 Hakuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa na mkazo mkubwa na kudumu na jambo kama alivyokuwa katika raka... Hukumu za Swala na Tohara
  25. 186 akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- Hukumu za Swala na Tohara
  26. 2157 Nilimpa ahadi ya utiifu Mtume rehema na amani ziwe juu yake juu ya kushuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudi... Hukumu za Swala na Tohara
  27. 223 Yakwamba yeye alikuja kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiwa na mtoto wake mdogo hajaanza kula, Mtume r... Hukumu za Swala na Tohara
  28. 7239 Alichelewesha Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- swala ya ishaa, akatoka Omar, akasema: Swala Ewe Mjumbe wa... Hukumu za Swala na Tohara
  29. 1904 Amesema Mwenyezi Mungu: Kila amali ya mwanadamu hiyo ni ya kwake isipokuwa swaumu, bila shaka hiyo ni yangu na... Hukumu za Swala na Tohara
  30. 1429 Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini Hukumu za Swala na Tohara
  31. 3270 Alitajwa kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake mtu mmoja aliyelala usiku mpaka pakapambazuka, akasema: "Huyo... Hukumu za Swala na Tohara
  32. 1896 Hakika Peponi kuna mlango unaoitwa Rayyani, watauingia wafungaji siku ya Kiyama, hato ingia ndani ya Pepo hiyo... Hukumu za Swala na Tohara
  33. 1471 Ikiwa mmoja wenu atachukua kamba yake, akaleta mzigo wa kuni juu ya mgongo wake, akauuza, na Mwenyezi Mungu ak... Hukumu za Swala na Tohara
  34. 2811 Haijawahi kupata vumbi miguu ya mja yeyote katika njia ya Mwenyezi Mungu, halafu ikaguswa na moto Hukumu za Swala na Tohara
  35. 574 Atakayeswali (wakati) wa baridi mbili ataingia peponi Hukumu za Swala na Tohara
  36. 6952 Msaidie ndugu yako akiwa amedhulumu au kudhulumiwa Hukumu za Swala na Tohara
  37. 3105 Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa na kuzaliwa pamoja Hukumu za Swala na Tohara
  38. 1957 Wanaendelea watu kuwa katika kheri kwa muda wote watakaofanya haraka kufuturu Hukumu za Swala na Tohara
  39. 1921 Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, kisha akasimama kwenda katika swala, nikasema: Ul... Hukumu za Swala na Tohara
  40. 2026 Yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa akikaa itikafu siku kumi za mwisho wa Ramadhani, mpaka al... Hukumu za Swala na Tohara