Kozi
Sahih al-Bukhari
Fiqhi, Swala na Ibada
203 masomo
- 1923 Chelewesheni kula daku, hakika katika kuchelewesha kula daku kuna baraka Hukumu za Swala na Tohara
- 1503 Alifaradhisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake zakatul-fitiri kibaba cha tende, au kibaba cha ngano, kwa mt... Hukumu za Swala na Tohara
- 1990 Nilishuhudia swala ya Idd pamoja na Omari bin Khattwab radhi za Allah ziwe juu yake, akasema: Siku mbili hizi... Hukumu za Swala na Tohara
- 1549 Nikuwa Talbiya (kuitika) kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kulikuwa ni: Labbaikallaahumma labbaika -Nime... Hukumu za Swala na Tohara
- 1981 Aliniusia mimi kipenzi changu -rehema na amani ziwe juu yake kwa mambo matatu: kufunga siku tatu katika kila m... Hukumu za Swala na Tohara
- 2017 Utafuteni usiku wenye cheo (Lailatul Qadri) katika witiri za kumi la mwisho katika Ramadhani Hukumu za Swala na Tohara
- 2015 Naona ndoto zenu zimeafikiana katika siku saba za mwisho, basi atakayetaka kuitafuta basi na aitafute katika s... Hukumu za Swala na Tohara
- 1900 Mtakapouona basi fungeni, na mtakapouona basi fungueni, ukifunikwa kwenu nyinyi basi ukadirieni Hukumu za Swala na Tohara
- 2236 Hakika Allah na Mtume wake ameharamisha kuuza pombe, na mzoga na nguruwe na masanamu Hukumu za Swala na Tohara
- 1258 Muosheni mara tatu, au mara tano au zaidi ya hapo, mkiona kuna haja ya kuzidisha, kwa maji na mkunazi, na mwis... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2753 Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.” Hukumu za Swala na Tohara
- 2044 Alikuwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake akikaa itikafu katika kila ramadhani siku kumi, ulipofikia mwaka a... Hukumu za Swala na Tohara
- 1521 Atakaye hiji kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na hakufanya matendo mabaya,na hakufanya uwovu, atarudi kama siku ali... Hukumu za Swala na Tohara
- 1520 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tunaiona Jihadi kuwa ni amali bora zaidi, basi je tupigane? Akasema: "Hapana, la... Hukumu za Swala na Tohara
- 3014 Ya kwamba mwanamke mmoja alipatikana akiwa kauwawa katika moja ya vita vya Mtume rehema na amani ziwe juu yake... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2956 Nilimuendea Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Nikasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, Hakika sisi tuko kat... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2960 Amekataza kuweka nadhiri, na akasema: "Hakika nadhiri haiji kwa kheri, bali hutolewa kwayo (vilivyo) kwa bahil... Hukumu za Swala na Tohara
- 6718 Wallahi – akipenda Mwenyezi Mungu - sitokula kiapo cha jambo fulani isipokuwa ninapoona kilichobora zaidi basi... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2964 Mkono unakatwa kwa robo Dinari na kuendelea Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2965 Chukua katika mali yake kwa wema, kiasi kinachokutosha wewe na wanao Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2969 “Mwenye kupigana ili neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo yuko katika Njia ya Mwenyezi Mungu Hukumu za Swala na Tohara
- 5565 Alichinja Mtume rehema na amani ziwe juu yake kondoo wawili wazuri weupe wenye pembe, aliwachinja kwa mkono wa... Hukumu za Swala na Tohara
- 2416 Yeyote atakayetoa kiapo hali yakuwa ni muongo, ili ajikatie mali ya mtu Muislamu, basi atakutana na Mwenyezi M... Hukumu za Swala na Tohara
- 2488 Hakika wanyama hawa wafugwao ni wanyama kama walivyo wanyama pori, watakaokushindeni miongoni mwao (kuwachinja... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2987 Hapigwi mtu zaidi ya viboko kumi isipokuwa kama itakuwa katika kutelekeza sheria miongoni mwa sharia za Mwenye... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2994 Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo, basi yatapungua katika matendo yake kila siku kiratu... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-2995 Atakaye apa juu ya kiapo cha mila isiyokuwa ya uislamu kwa uongo tena kwa makusudi basi atakuwa kama alivyosem... Hukumu za Swala na Tohara
- 611 Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini Hukumu za Swala na Tohara
- 325 hakika hilonitatizolinatokananamshipawakizazikukatika, lakini acha swala kwa kiasi cha siku ulizokuwa ukipata... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3031 Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3033 Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye... Hukumu za Swala na Tohara
- 1180 Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi Hukumu za Swala na Tohara
- 245 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3064 Paliletwa mashtaka kwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuhusu mtu anayepata wasiwasi kuwa anapata kitu n... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3066 Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3075 Nilikuwa pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake akafika katika jalala la watu fulani akakidhi haja ndog... Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3076 Sub-haana llaah, ametakasika Mwenyezi Mungu, hakika muumini hanajisiki Hukumu za Swala na Tohara
- 394 “Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.” Hukumu za Swala na Tohara
- HE-3081 Amekataza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuswali baada ya swala ya sub-hi mpaka lichomoze jua, na baada... Hukumu za Swala na Tohara
- 691 Hivi haogopi mmoja wenu (Au: Hachelei mmoja wenu) atakapoinua kichwa chake kabla ya imamu, Mwenyezi Mungu akif... Hukumu za Swala na Tohara