اللَّهُمَّ عَافِنِي فِي بَدَنِي، اللَّهُمَّ عَافِنِي فِي سَمْعِي، اللَّهُمَّ عَافِنِي فِي بَصَرِي، لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ. اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْكُفْرِ وَالْفَقْرِ، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ عَذَابِ الْقَبْرِ، لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ.
"Allaahumma 'aafinee fee badanee, Allaahumma 'aafinee fee sam'ee, Allaahumma 'aafinee fee basaree, laa ilaaha illaa Ant. Allaahumma innee a'oodhu bika minal-kufri wal-faqr, wa a'oodhu bika min 'adhaabil-qabr, laa ilaaha illaa Ant."
Ewe Mwenyezi Mungu, nipe afya katika mwili wangu. Ewe Mwenyezi Mungu, nipe afya katika kusikia kwangu. Ewe Mwenyezi Mungu, nipe afya katika kuona kwangu; hapana mola ila Wewe. Ewe Mwenyezi Mungu, ninajikinga Kwako na ukafiri na umasikini, na ninajikinga Kwako na adhabu ya kaburi; hapana mola ila Wewe (mara 3).
O Allah, grant me health in my body. O Allah, grant me health in my hearing. O Allah, grant me health in my sight. There is no deity except You...
Inasomwa mara tatu asubuhi na mara tatu jioni kuomba kinga ya viungo vya mwili na amani ya kaburi.