فَقُطِعَ دَابِرُ الْقَوْمِ الَّذِينَ ظَلَمُوا وَالْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
"Faquti'a daabirul-qawmil-ladheena dhalamoo, walhamdulillaahi Rabbil-'aalameen."
Kukakatwa mzizi wa kaumu ya wale waliodhulumu; na sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote.
So the people that committed wrong were eliminated. And praise to Allah, Lord of the worlds.
Shukurani kwa Mola pale haki inaposimama na dhuluma inapoangamia.