إِنَّ صَلَاتِي وَنُسُكِي وَمَحْيَايَ وَمَمَاتِي لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
"Inna salaatee wa nusukee wa mahyaaya wa mamaatee lillaahi Rabbil-'aalameen."
Hakika Swala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na mauti yangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Indeed, my prayer, my rites of sacrifice, my living and my dying are for Allah, Lord of the worlds.
Kauli mbiu ya maisha ya Muislamu ya kujitolea kila pumzi na tendo kwa ajili ya radhi za Allah.