اللَّهُمَّ أَجِرْنِي مِنَ النَّارِ.
"Allaahumma ajirnee minan-naar."
Ewe Mwenyezi Mungu, nikinge na adhabu ya moto wa Jahannamu.
O Allah, protect me from the Hellfire.
Mtu anapoisoma mara saba baada ya swala ya Alfajiri, Moto wa Jahannamu husema: Ewe Mola wangu, mkinge mja Wako huyu na mimi.