رَبِّ اغْفِرْ لِي وَهَبْ لِي مُلْكًا لَّا يَنبَغِي لِأَحَدٍ مِّن بَعْدِي إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ
"Rabbighfir lee wa hab lee mulkal-laa yambaghee li-ahadim-mim ba'dee, innaka Antal-Wahhaab."
Mola wangu Mlezi! Nighufirie, na unipe ufalme ambao hautampasa yeyote baada yangu; hakika Wewe ndiye Mpaji mkuu.
My Lord, forgive me and grant me a kingdom such as will not belong to anyone after me. Indeed, You are the Bestower.
Inaonesha namna ya kuanza toba kabla ya kuomba utajiri na nafasi kubwa ya uongozi.