رَبِّ أَوْزِعْنِي أَنْ أَشْكُرَ نِعْمَتَكَ الَّتِي أَنْعَمْتَ عَلَيَّ وَعَلَىٰ وَالِدَيَّ وَأَنْ أَعْمَلَ صَالِحًا تَرْضَاهُ وَأَدْخِلْنِي بِرَحْمَتِكَ فِي عِبَادِكَ الصَّالِحِينَ
"Rabbi awzi'nee an ashkura ni'matakal-latee an'amta 'alayya wa 'alaa waalidayya wa an a'mala saalihan tardaahu wa adkhilnee bi-rahmatika fee 'ibaadikas-saaliheen."
Mola wangu Mlezi! Nipe taufiki nishukuru neema Zako ulizonineemesha mimi na wazazi wangu, na nipate kutenda mema unayoyaridhia, na uniingize kwa rehema Yako miongoni mwa waja Wako wema.
My Lord, enable me to be grateful for Your favor which You have bestowed upon me and upon my parents and to do righteousness of which You approve. And admit me by Your mercy into [the ranks of] Your righteous servants.
Dua ya shukrani kubwa aliyoomba Nabii Sulaiman; inazidisha neema na kuimarisha wema kwa wazazi.