رَبِّ السِّجْنُ أَحَبُّ إِلَيَّ مِمَّا يَدْعُونَنِي إِلَيْهِ وَإِلَّا تَصْرِفْ عَنِّي كَيْدَهُنَّ أَصْبُ إِلَيْهِنَّ وَأَكُن مِّنَ الْجَاهِلِينَ
"Rabbis-sijnu ahabbu ilayya mimmaa yad'oonanee ilayhi, wa illaa tasrif 'annee kaydahunna asbu ilayhinna wa akum-minal-jaahileen."
Mola wangu Mlezi! Gereza linanipendeza zaidi kuliko haya wanayoniitia; na usiponiondoshea hila zao, nitaelekea kwao na nitakuwa miongoni mwa wajinga.
My Lord, prison is more to my liking than that to which they invite me. And if You do not avert from me their plan, I might incline toward them and be of the ignorant.
Dua ya kulinda usafi wa kimwili na kiroho mbele ya vishawishi vya uzinzi na maovu.