رَبِّ اشْرَحْ لِي صَدْرِي وَيَسِّرْ لِي أَمْرِي وَاحْلُلْ عُقْدَةً مِّن لِّسَانِي يَفْقَهُوا قَوْلِي
"Rabbish-rah lee sadree wa yassir lee amree, wahlul 'uqdatam-mil-lisaanee yafqahoo qawlee."
Mola wangu Mlezi! Nikunjulie kifua changu, na unifanyie sahala jambo langu, na ufungue fundo katika ulimi wangu, wapate kufahamu maneno yangu.
My Lord, expand for me my breast [with assurance] and ease for me my task and untie the knot from my tongue that they may understand my speech.
Dua ya Nabii Musa kabla ya kulingania haki; inafaa sana kabla ya mitihani, mazungumzo au kazi nzito.