رَبِّ إِنِّي لِمَا أَنزَلْتَ إِلَيَّ مِنْ خَيْرٍ فَقِيرٌ
"Rabbi innee limaa anzalta ilayya min khayrin faqeer."
Mola wangu Mlezi! Hakika mimi ni mhitaji wa kheri yoyote utakayoniteremshia.
My Lord, indeed I am, for whatever good You would send down to me, in need.
Dua aliyoomba Musa (a.s) akiwa hana makazi wala kazi mjini Madyan; Allah akamfungulia kazi, ndoa na amani.