رَبَّنَا وَسِعْتَ كُلَّ شَيْءٍ رَّحْمَةً وَعِلْمًا
"Rabbanaa wasi'ta kulla shay'ir-rahmatan wa 'ilmaa."
Mola wetu Mlezi! Rehema Yako na ilimu Yako vimeenea kila kitu.
Our Lord, You encompass all things in mercy and knowledge.
Hujenga matumaini makubwa kuwa rehema ya Mwenyezi Mungu ni pana zaidi kuliko udhaifu wowote wa mwanadamu.