رَبَّنَا آمَنَّا فَاغْفِرْ لَنَا وَارْحَمْنَا وَأَنتَ خَيْرُ الرَّاحِمِينَ
"Rabbanaa aamannaa faghfir lanaa warhamnaa wa Anta khayrur-raahimeen."
Mola wetu Mlezi! Tumeamini; basi tughufirie na uturehemu, na Wewe ndiye Mbora wa wanaorehemu.
Our Lord, we have believed, so forgive us and have mercy upon us, and You are the best of the merciful.
Dua ya kundi la waja wema ambao walifanyiwa dhihaka duniani lakini wakapata ushindi mkuu Akhera.