رَبَّنَا افْتَحْ بَيْنَنَا وَبَيْنَ قَوْمِنَا بِالْحَقِّ وَأَنتَ خَيْرُ الْفَاتِحِينَ
"Rabbanaftah baynanaa wa bayna qawminaa bil-haqqi wa Anta khayrul-faatiheen."
Mola wetu Mlezi! Hukumu baina yetu na kaumu yetu kwa haki, na Wewe ndiye Mbora wa wanaohukumu.
Our Lord, judge between us and our people in truth, and You are the best of judges.
Dua ya Nabii Shu'ayb (a.s) alipokabiliwa na upinzani mkali wa makafiri; inaleta nusra na ufumbuzi wa haki.