رَبَّنَا ظَلَمْنَا أَنفُسَنَا وَإِن لَّمْ تَغْفِرْ لَنَا وَتَرْحَمْنَا لَنَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ
"Rabbanaa dhalamnaa anfusanaa wa illam taghfir lanaa wa tarhamnaa lanakoonanna minal-khaasireen."
Mola wetu Mlezi! Tumedhulumu nafsi zetu, na usipotusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa miongoni mwa waliokhasirika.
Our Lord, we have wronged ourselves, and if You do not forgive us and have mercy upon us, we will surely be among the losers.
Dua ya kwanza ya toba iliyoomba na Nabii Adam na mkewe Hawa; inavunja kiburi na kufuta madhambi.