بِسْمِ اللَّهِ، الْحَمْدُ لِلَّهِ، سُبْحَانَ الَّذِي سَخَّرَ لَنَا هَذَا وَمَا كُنَّا لَهُ مُقْرِنِينَ، وَإِنَّا إِلَى رَبِّنَا لَمُنْقَلِبُونَ.
"Bismillaah, Alhamdu lillaah, Subhaanal-ladhee sakh-khara lanaa haadhaa wa maa kunnaa lahoo muqrineen, wa innaa ilaa Rabbinaa lamunqaliboon."
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, sifa njema ni za Mwenyezi Mungu. Ametakasika Yule Aliyetutiishia hiki, na sisi hatukuwa na uwezo nacho, na hakika sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi.
Glory to Him who has subjected this to us, whereas we could not have done it by ourselves. And indeed, to our Lord we will return.
Hutoa shukrani na kumuweka msafiri katika hifadhi ya Mwenyezi Mungu katika safari nzima.