اللَّهُ أَكْبَرُ، اللَّهُمَّ أَهِلَّهُ عَلَيْنَا بِالأَمْنِ وَالإِيمَانِ، وَالسَّلاَمَةِ وَالإِسْلاَمِ، رَبِّي وَرَبُّكَ اللَّهُ.
"Allaahu Akbar, Allaahumma ahillahoo 'alaynaa bil-amni wal-eemaan, was-salaamati wal-Islaam, Rabbee wa Rabbukallaah."
Mwenyezi Mungu ni Mkubwa. Ewe Mola wetu, utuchomozee mwezi huu ukiwa na amani, imani, salama na Uislamu. Mola wangu na Mola wako ni Mwenyezi Mungu.
Allah is the greatest. O Allah, let this moon appear on us with security and faith, with peace and Islam. My Lord and your Lord is Allah.
Huweka mwezi mzima (k.m. mwezi wa Ramadhani au miezi mingine) katika baraka, utulivu na unyenyekevu kwa Muumba.