اللَّهُمَّ كَمَا حَسَّنْتَ خَلْقِي فَحَسِّنْ خُلُقِي.
"Allaahumma kamaa hassanta khalqee fahassin khuluqee."
Ewe Mwenyezi Mungu, kama Ulivyoufanya mzuri umbo langu, basi ufanye mzuri na tabia yangu.
O Allah, just as You have made my physical appearance good, make my character and manners good.
Kumuomba Mwenyezi Mungu akhlaaq njema na uzuri wa ndani sambamba na uzuri wa nje.