بِسْمِ اللَّهِ وَلَجْنَا، وَبِسْمِ اللَّهِ خَرَجْنَا، وَعَلَى رَبِّنَا تَوَكَّلْنَا.
"Bismillaahi walajnaa, wa bismillaahi kharajnaa, wa 'alaa Rabbinaa tawakkalnaa."
Kwa jina la Mwenyezi Mungu tunaingia, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tulitoka, na kwa Mola wetu Mlezi tunamtegemea.
In the name of Allah we enter, and in the name of Allah we leave, and upon our Lord we rely.
Hufukuza shetani asilale wala kula kwenye nyumba yako.