سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، أَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ، أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتُوبُ إِلَيْكَ.
"Subhaanakallaahumma wa bihamdika, ash-hadu an laa ilaaha illaa Anta, astaghfiruka wa atoobu ilayk."
Kutakasika ni Kwako Ewe Mwenyezi Mungu na sifa njema zote ni Zako, nashuhudia kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Wewe, nakuomba msamaha na ninatubu Kwako.
Glory is to You, O Allah, and praise. I bear witness that none has the right to be worshipped except You. I seek Your forgiveness and turn to You in repentance.
Hufuta maneno yasiyofaa na makosa yaliyotokea ndani ya kikao hicho.