الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي كَسَانِي هَذَا الثَّوْبَ وَرَزَقَنِيهِ مِنْ غَيْرِ حَوْلٍ مِنِّي وَلاَ قُوَّةٍ.
"Alhamdu lillaahil-ladhee kasaanee haadhath-thawba wa razaqaneehi min ghayri hawlin minnee wa laa quwwah."
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye amenivika vazi hili na kuniruzuku bila uwezo wala nguvu kutoka kwangu.
All praise is for Allah Who has clothed me with this garment and provided it for me without any power or might from myself.
Mwenye kuisoma anasamehewa madhambi yake yaliyotangulia.