اللَّهُمَّ أَنْتَ رَبِّي لَا إِلَهَ إِلَّا أَنْتَ، خَلَقْتَنِي وَأَنَا عَبْدُكَ، وَأَنَا عَلَى عَهْدِكَ وَوَعْدِكَ مَا اسْتَطَعْتُ، أَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ مَا صَنَعْتُ، أَبُوءُ لَكَ بِنِعْمَتِكَ عَلَيَّ، وَأَبُوءُ بِذَنْبِي فَاغْفِرْ لِي فَإِنَّهُ لَا يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلَّا أَنْتَ.
"Allaahumma Anta Rabbee laa ilaaha illaa Anta, khalaqtanee wa anaa 'abduka, wa anaa 'alaa 'ahdika wa wa'dika mastata'tu, a'oodhu bika min sharri maa sana'tu, aboo'u laka bi-ni'matika 'alayya, wa aboo'u bi-dhanbee faghfir lee fa-innahoo laa yaghfirudh-dhunooba illaa Ant."
Ewe Mwenyezi Mungu, Wewe ndiye Mola wangu Mlezi, hapana mungu ila Wewe; umeniumba nami ni mja Wako, nami niko juu ya agano Lako na ahadi Yako kadiri ya uwezo wangu; najikinga Kwako na shari ya niliyoyatenda; nakiri neema Zako zilizo juu yangu, na ninakiri madhambi yangu, basi nighufirie; kwani hakika hakuna anayesamehe madhambi ila Wewe.
O Allah, You are my Lord, there is no god but You. You created me and I am Your servant, and I abide by Your covenant and promise as best I can. I seek refuge in You from the evil of what I have done. I acknowledge Your favor upon me and I acknowledge my sin, so forgive me, for none forgives sins except You.
Bwana wa Istighfar; mwenye kuisoma jioni kwa yakini kisha akafariki usiku huo, ni miongoni mwa watu wa Peponi.