رَضِيتُ بِاللَّهِ رَبًّا، وَبِالْإِسْلَامِ دِينًا، وَبِمُحَمَّدٍ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ نَبِيًّا.
"Radeetu billaahi Rabban, wa bil-Islaami deenan, wa bi-Muhammadin sallallaahu 'alayhi wa sallama Nabiyyaa."
Nimeridhika na Mwenyezi Mungu kuwa Mola wangu Mlezi, na Uislamu kuwa dini yangu, na Muhammad (s.a.w) kuwa Nabii wangu.
I am pleased with Allah as my Lord, Islam as my religion, and Muhammad (pbuh) as my Prophet.
Mwenye kuisoma mara tatu asubuhi, ni wajibu kwa Mwenyezi Mungu kumridhisha Siku ya Kiyama.