Sahih Muslim · Na. 651
Hakika swala nzito zaidi kwa wanafiki ni swala ya Ishaa na swala ya Alfajiri, na lau kama wangejua (malipo) yaliyomo, basi wangeziendea hata kwa kutambaa
Mada zinazohusiana
Tawhid na Misingi ya ImaniSwala, Tohara na IbadaKupendana kwa Ajili ya Allah na UduguSadaka, Huruma na Wema
Hadith zinazofanana
Kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: "Hakika swala nzito zaidi kwa...
wangeziendeakusimamishwahawahudhuriinimuamrisheawasalishenilipania
Linganisha na hiiKutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Amesema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: "Hakika swala nzito zaidi kwa...
wangeziendeakusimamishwahawahudhuriinimuamrisheawasalishenilipania
Linganisha na hiiUfanano huu unategemea maneno yanayoshirikiana tu. Si hukumu ya kielimu kuhusu maana au daraja la hadith.
Isnad na wasifu wa wapokezi
Data ya wapokezi (isnad) bado haijaongezwa kwenye Bayt Ul Hadith. Itaonekana hapa pindi itakapopatikana kutoka chanzo kinachoaminika, kwa marejeo kamili.