SURA YA 112 MAKKA 4 AYA JUZ 30

الإِخْلَاص

Al-Ikhlaas · Al-Ikhlaas

Maana: "Kusafisha Imani"

BISMILLAHIR RAHMAANIR RAHIIM
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu
Muonekano:
Msomaji: Mishary Rashid Alafasy

قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ١

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

Say, "He is Allah, [who is] One,

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ ٢

Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

Allah, the Eternal Refuge.

لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ ٣

Hakuzaa wala hakuzaliwa.

He neither begets nor is born,

وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌۢ ٤

Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Nor is there to Him any equivalent."