Kozi
Sahih Muslim

Muslim — bado haijapangwa (ya muda)

89 masomo

  1. HE-1751 Muosheni mara tatu, au mara tano au zaidi ya hapo, mkiona kuna haja ya kuzidisha, kwa maji na mkunazi, na mwis... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  2. 1255 Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.” Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  3. HE-2758 Atakaye hiji kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na hakufanya matendo mabaya,na hakufanya uwovu, atarudi kama siku ali... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  4. 1735 Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila ha... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  5. HE-2941 Hivi nikuelezeni madhambi makubwa? Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  6. 2066 Alituamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mambo saba, na akatukataza mambo saba Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  7. 1646 Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  8. HE-2949 Ya kwamba mwanamke mmoja alipatikana akiwa kauwawa katika moja ya vita vya Mtume rehema na amani ziwe juu yake... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  9. HE-2956 Nilimuendea Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Nikasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, Hakika sisi tuko kat... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  10. 1639 Amekataza kuweka nadhiri, na akasema: "Hakika nadhiri haiji kwa kheri, bali hutolewa kwayo (vilivyo) kwa bahil... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  11. HE-2961 Wallahi – akipenda Mwenyezi Mungu - sitokula kiapo cha jambo fulani isipokuwa ninapoona kilichobora zaidi basi... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  12. 1678 La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  13. HE-2964 Mkono unakatwa kwa robo Dinari na kuendelea Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  14. 1714 Chukua katika mali yake kwa wema, kiasi kinachokutosha wewe na wanao Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  15. HE-2967 Kudumu siku moja katika njia ya Mwenyezi Mungu ni bora kuliko dunia na vilivyo juu yake Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  16. HE-2969 “Mwenye kupigana ili neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo yuko katika Njia ya Mwenyezi Mungu Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  17. HE-2971 Alichinja Mtume rehema na amani ziwe juu yake kondoo wawili wazuri weupe wenye pembe, aliwachinja kwa mkono wa... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  18. HE-2980 Yeyote atakayetoa kiapo hali yakuwa ni muongo, ili ajikatie mali ya mtu Muislamu, basi atakutana na Mwenyezi M... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  19. HE-2981 Kulikuwa na jeraha (kwa mmoja) katika wale waliokuwa kabla yenu, akakasirishwa nalo akachukua kisu akaukata mk... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  20. HE-2984 Hakika wanyama hawa wafugwao ni wanyama kama walivyo wanyama pori, watakaokushindeni miongoni mwao (kuwachinja... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  21. HE-2985 “Msivae hariri wala dibaji (Sufi) wala msinywe katika vyombo vya dhahabu au vya fedha, wala msile katika vyomb... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  22. HE-2986 Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  23. 1708 Hapigwi mtu zaidi ya viboko kumi isipokuwa kama itakuwa katika kutelekeza sheria miongoni mwa sharia za Mwenye... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  24. 2337 Sijawahi kumuona mwenye nywele ndefu na vazi jekundu zuri kuliko Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  25. 1574 Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo, basi yatapungua katika matendo yake kila siku kiratu... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  26. HE-2995 Atakaye apa juu ya kiapo cha mila isiyokuwa ya uislamu kwa uongo tena kwa makusudi basi atakuwa kama alivyosem... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  27. HE-2997 Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwetu Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  28. 2701 Ama mimi sikukuapisheni kwa sababu ya kuwatuhumu, lakini Jibril alinijia na kuniambia kuwa Mwenyezi Mungu Mtuk... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  29. HE-3010 Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo,... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  30. HE-3013 Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  31. HE-3014 Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  32. HE-3018 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendezwa sana na kuanzia kulia, katika kuvaa kwake viatu, na ku... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  33. HE-3021 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Je anaweza kulala mmoja wetu akiwa na janaba? Akasema: Ndiyo, atakapotawadha mmoj... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  34. HE-3024 Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona Mtume rehema na ama... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  35. HE-3029 hakika hilonitatizolinatokananamshipawakizazikukatika, lakini acha swala kwa kiasi cha siku ulizokuwa ukipata... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  36. 271 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, c... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  37. 433 Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  38. HE-3033 Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  39. 2018 Anapoingia mtu nyumbani kwake akamtaja Mwenyezi Mungu wakati wa kuingia kwake na wakati wa chakula chake, Shet... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  40. 2742 Hakika dunia ni tamu, ni ya kijani, na hakika Mwenyezi Mungu anakumilikisheni ndani yake aone ni namna gani mt... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)