Kozi
Sahih Muslim

Muslim — bado haijapangwa (ya muda)

89 masomo

  1. HE-3055 "Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri" Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  2. 2717 Ewe Mwenyezi Mungu kwa ajili yako nimejisalimisha, na kwako nimeamini, na juu yako nimetegemea, na kwako nimej... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  3. HE-3060 Sikumuona Mtume -rehema amani ziwe juu yake- katu akipitiliza kucheka mpaka kionekane Kilimi ndani ya mdomo wa... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  4. 1709 Tulimpa ahadi ya utiifu Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- juu ya kusikia na kutii katika uzito na wepesi,... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  5. HE-3062 Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  6. HE-3063 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  7. HE-3064 Paliletwa mashtaka kwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuhusu mtu anayepata wasiwasi kuwa anapata kitu n... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  8. HE-3066 Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  9. 1468 Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhishwa na tabia nyingine Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  10. 273 Nilikuwa pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake akafika katika jalala la watu fulani akakidhi haja ndog... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  11. HE-3076 Sub-haana llaah, ametakasika Mwenyezi Mungu, hakika muumini hanajisiki Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  12. HE-3078 “Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.” Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  13. 267 Asishike mmoja wenu utupu wake kwa mkono wake wa kulia akiwa anakidhi haja ndogo, na asijifute haja ndogo au k... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  14. HE-3081 Amekataza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuswali baada ya swala ya sub-hi mpaka lichomoze jua, na baada... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  15. HE-3086 Hivi haogopi mmoja wenu (Au: Hachelei mmoja wenu) atakapoinua kichwa chake kabla ya imamu, Mwenyezi Mungu akif... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  16. HE-3087 Yakuwa mtu mmoja alimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu Kiyama, akasema: Lini Kiyama? Akasema:... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  17. 560 Hakuna swala chakula kinapokuwa tayari, na wala hakuna (swala) akiwa anazuia na kubana vichafu viwili(Haja kub... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  18. HE-3095 Yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Alikuwa akinyanyua mikono yake usawa wa mabega yake anapofungua... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  19. 402 Alinifundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake, namna ya tashahudi iletwayo ndani ya sala, na kiganja chan... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  20. 588 Allaahumma inniy a'udhubika min adhaabil Qabri, wa min adhaabin naari, wamin fitnatil mahyaa wal mamaati, wami... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  21. 1354 Allaahumma baaid bainiy -Ewe Mwenyezi Mungu weka mbali baina yangu- wa baina khatwaayaaya -na baina ya makosa... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  22. 851 Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  23. HE-3109 Fanyeni haraka kulipeleka jeneza, likiwa ni la mtu mwema, basi mnaliwahisha kupata kheri, na likiwa kinyume na... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  24. HE-3110 Hivi nikuhadithieni hadithi kuhusu Dajali ambayo hajawahi kuhadithia Nabii yeyote watu wake! Hakika yeye ni ch... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  25. HE-3111 Linganeni sawa katika sijida, na asikunjue mmoja wenu mikono yake kama anavyokunjua mbwa Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  26. 2628 “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  27. 2630 Hakika Mwenyezi Mungu amemuwajibishia pepo kwa kile alichokifanya, au amemuacha huru na moto kwa kile alicho k... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  28. HE-3135 Mwenye kwenda upesi kuwasaidia wajane na maskini ni kama mwenye kupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu, au mwe... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  29. 118 Fanyeni haraka kufanya matendo kuna fitina nzito kama kipande cha usiku wa giza, Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  30. HE-3143 Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  31. HE-3144 Mambo ya kimaumbile ni matano: Kutairi, na kunyoa sehemu za siri, na kupunguza masharubu, na kupunguza kucha n... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  32. HE-3145 “Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, ole wao waarabu na watahadhari dhidi ya shar... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  33. HE-3150 Alikuwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake anapoingia msalani anasema: "Allaahumma inniy Auudhubika minal khu... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  34. HE-3153 Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na haya zaidi kuliko hata bikira ndani ya chumba chake, basi anapo... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  35. HE-3154 Muabuduni Mwenyezi Mungu peke yake msimshirikishe yeye na chochote, na acheni wanayosema baba zenu, na anatuam... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  36. HE-3156 Hakika utakuja kutokea uchoyo na kujipendelea baada yangu na mambo msiyoyajua (uzushi)" Wakasema: Ewe Mjumbe w... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  37. 1909 Atakayemuomba Mwenyezi Mungu shahada (yaani kufa shahidi) kwa dhati, basi atamfikisha daraja ya mashahidi hata... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  38. HE-3160 Ukipenda unaweza kuvumulia na utapata malipo ya Pepo, na ukitaka nitakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuponye Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  39. HE-3174 Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, mali zimeteketea na njia zote zimekatika, muombe Mwenyezi Mungu atuletee mvua Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)
  40. HE-3177 Yakwamba Nabii -Rehema na Amani ziwe juu yake- alikuwa safarini, akaswali swala ya ishaa ya mwisho, akasoma ka... Hadith zilizogunduliwa hivi karibuni (ya muda)