Istighfar ya Kila Siku (Astaghfirullah wa Atoobu Ilayh)
أَسْتَغْفِرُ اللَّهَ وَأَتُوبُ إِلَيْهِ.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu msamaha na ninatubu Kwake.
Dua sahihi na adhkar zilizothibitishwa kutoka katika Qur'an na mafundisho ya Mtume Muhammad ﷺ. Hifadhi ya moyo, amani ya nafsi, na kinga ya muumini katika kila nyakati za maisha.
أَسْتَغْفِرُ اللَّهَ وَأَتُوبُ إِلَيْهِ.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu msamaha na ninatubu Kwake.
رَبِّ ارْحَمْهُمَا كَمَا رَبَّيَانِي صَغِيرًا.
Mola wangu Mlezi! Warehemu wazazi wangu wawili kama walivyonilea nikiwa mtoto mdogo.
جَزَاكَ اللَّهُ خَيْرًا.
Mwenyezi Mungu akulipe kila la kheri.
سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، أَشْهَدُ أَنْ لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ، أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتُوبُ إِلَيْكَ.
Umetakasika Ewe Mwenyezi Mungu, na sifa zote njema ni Zako. Ninashuhudia ya kwamba hapana mungu apasaye kuabudiwa kwa haki ila Wewe. Ninakuomba msamaha na ninat...
رَبَّنَا ظَلَمْنَا أَنفُسَنَا وَإِن لَّمْ تَغْفِرْ لَنَا وَتَرْحَمْنَا لَنَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ.
Mola wetu Mlezi! Tumejidhulumu nafsi zetu; na kama Hutusamehe na kuturehemu, bila shaka tutakuwa miongoni mwa waliopata hasara.
رَبِّ إِنِّي ظَلَمْتُ نَفْسِي فَاغْفِرْ لِي.
Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimejidhulumu nafsi yangu, basi nisamehe.
رَبِّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ أَنْ أَسْأَلَكَ مَا لَيْسَ لِي بِهِ عِلْمٌ ۖ وَإِلَّا تَغْفِرْ لِي وَتَرْحَمْنِي أَكُن مِّنَ الْخَاسِرِينَ.
Mola wangu Mlezi! Mimi ninajikinga Kwako nisije nikakuomba yale nisiyo na ilimu nayo; na kama Hutanisamehe na kunitendea rehema, nitakuwa miongoni mwa wenye kuk...
رَبِّ اغْفِرْ لِي وَتُبْ عَلَيَّ، إِنَّكَ أَنْتَ التَّوَّابُ الرَّحِيمُ.
Mola wangu nisamehe na upokee toba yangu; hakika Wewe ndiwe Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu daima.
أَسْتَغْفِرُ اللَّهَ الْعَظِيمَ الَّذِي لاَ إِلَهَ إِلاَّ هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ، وَأَتُوبُ إِلَيْهِ.
Ninamwomba msamaha Mwenyezi Mungu Aliye Mkuu, ambaye hapana mola ila Yeye, Aliye Hai daima, Msimamia kila kitu, na ninatubu Kwake.
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ الْهُدَى، وَالتُّقَى، وَالْعَفَافَ، وَالْغِنَى.
Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba uongofu, na ucha-Mungu, na usafi wa nafsi (kujiepusha na machafu), na utajiri wa moyo (kutosheka).
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ حُسْنَ الْخَاتِمَةِ، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ سُوءِ الْخَاتِمَةِ، اللَّهُمَّ اجْعَلْ خَيْرَ أَعْمَارِنَا أَوَاخِرَهَا، وَخَيْرَ أَعْمَالِنَا خَوَاتِيمَهَا،...
Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba mwisho mwema wa maisha yangu, na ninajikinga Kwako na mwisho mbaya. Ewe Mwenyezi Mungu, fanya sehemu bora ya umri wetu...
اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي ذَنْبِي كُلَّهُ، دِقَّهُ وَجِلَّهُ، وَأَوَّلَهُ وَآخِرَهُ، وَعَلاَنِيَتَهُ وَسِرَّهُ.
Ewe Mwenyezi Mungu, nisamehe madhambi yangu yote: madogo na makubwa, ya kwanza na ya mwisho, yaliyo dhahiri na yaliyo ya siri.