اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ حُسْنَ الْخَاتِمَةِ، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ سُوءِ الْخَاتِمَةِ، اللَّهُمَّ اجْعَلْ خَيْرَ أَعْمَارِنَا أَوَاخِرَهَا، وَخَيْرَ أَعْمَالِنَا خَوَاتِيمَهَا، وَخَيْرَ أَيَّامِنَا يَوْمَ نَلْقَاكَ.
"Allaahumma innee as'aluka husnal-khaatimah, wa a'oodhu bika min soo'il-khaatimah. Allaahummaj'al khayra a'maarinaa awaakhirahaa, wa khayra a'maalinaa khawaateemahaa, wa khayra ayyaaminaa yawma nalqaak."
Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba mwisho mwema wa maisha yangu, na ninajikinga Kwako na mwisho mbaya. Ewe Mwenyezi Mungu, fanya sehemu bora ya umri wetu iwe ni mwishoni mwake, na matendo yetu bora yawe ya kukhitimisha, na siku yetu bora iwe siku tutakapokutana na Wewe.
O Allah, I ask You for a good and righteous conclusion to my life, and seek refuge from an evil end. Make the best of our lives its end, the best of our deeds the concluding ones...
Mambo hutegemea miisho yake; dua hii inalinda imani ya mja mpaka pumzi yake ya mwisho.