رَبَّنَا ظَلَمْنَا أَنفُسَنَا وَإِن لَّمْ تَغْفِرْ لَنَا وَتَرْحَمْنَا لَنَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ.
"Rabbanaa dhalamnaa anfusanaa wa in lam taghfir lanaa wa tarhamnaa lanakoonanna minal-khaasireen."
Mola wetu Mlezi! Tumejidhulumu nafsi zetu; na kama Hutusamehe na kuturehemu, bila shaka tutakuwa miongoni mwa waliopata hasara.
Our Lord, we have wronged ourselves, and if You do not forgive us and have mercy upon us, we will surely be among the losers.
Maneno ya toba aliyofundishwa Nabii Adam na Mwenyezi Mungu mwenyewe na akamsamehe; kielelezo kikuu cha unyenyekevu.